Tukio hilo lilitokea siku ya Ijumaa usiku maeneo ya Carribean Sinza jijini Dar es Salaam ambapo alivamiwa na watu hao wasiojulikana kwa nia ya kumfanyia uhalifu wa kumpora vitu vyake.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii Mez alidai kuwa alikuwa akitokea kwa msanii mwenzake ambaye ni rafiki yake wa muda mrefu Noura ndipo mkasa huo ulipomfika.
Alidai kuwa watu hao walikuwa wawili walimvamia akiwa anasubiri usafiri wa kurudi kwake na kumuibia walety yake ambayo ilikuwa na fedha ingawa hakutaka kuweka wazi kiasi cha fedha walichochukua.
Alisema kuwa alijitahidi kupambana nao hali ambayo haikuzaa matunda na ndipo alipoweza kumjeruhi usoni majeraha makubwa yanayosababisha ashindwe kutembea.
"Walinivamia watu wawili, ambao sikuweza kuwafahamu na mbaya zaidi najeruhiwa na watu hao bila ya kupata msaada wowote ule wamefanikiwa kuniibia ingawa simu walishindwa kuichukua" alisema Mez B.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.
Mysore Casino, Chennai - JTM Hub
A new entry into 대전광역 출장샵 the 제천 출장마사지 Mysore Casino, Mysore, is located at 과천 출장안마 the heart of Gautenguru. It is located on the banks of the River Chandahar. 이천 출장마사지 The casino has a 영주 출장샵