Monday, January 6, 2014

KWANIN MADADA WA KIBONGO WANAFUNIKA NYWELE WANAACHA MATITI WAZI..?


 
 Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.

Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili.... Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika...?

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “KWANIN MADADA WA KIBONGO WANAFUNIKA NYWELE WANAACHA MATITI WAZI..? ”

Post a Comment

 

Mambomseto News Copyright © 2011 -- Template created by O Pregador -- Powered by Blogger

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter