Tumefatilia taarifa za kifo cha msanii Zay B toka taarifa hizi zianze kusamba asubuhi ya Tarehe 5/1/2014.
Taarifa hizi inasemekana zimetangazwa na kituo cha radio Hapa Tanzania kuwa msanii Zay B Amefariki na baada ya muda mfupi message na simu za pole zikamiminika kwa familia ya Zay B bila kujua kinacho endelea.
tumezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita
tumezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.